Suge Knight mpaka sasa yupo anasota katika jela ya wanaume ya huko Los Angeles kufuatia kesi yake ya kugonga na kukimbia (hit and run ) ya mwezi Januari mwaka 2015 katika set ya filamu ya Straight Outta Compton.Katika tukio hilo Suge Knight aliua mtu mmoja aliyetambulik kwa jina la Terry Carter na kuwajeruhi wawili.
Akifanya mahojiano na jarida la The Wrap, mwanasheria wa Knight, Thomas Mesereau,amesema mteja wake hatendewi haki na vyombo vya sheria vinavyoendesha kesi yake.Bw Toham amedai mteja wake angukuwa akihudhuria kesi huku akiwa nyumbani lakingi wamemuwekea vikwazo vikubwa makusudi ahindwe kumudu,kwanini wamemtaka awekewe dhamanna ya thamani kubwa kama hii ya miliono 2.2.
Suge Knight anatakiwa kuhudhuria mahakamani February 26.
Thursday, January 7, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment