Wiki kadhaa zilizopita star wa muziki,Jacksonalitangaza kuahirishwa kwa ziara yake ya muziki ya “Unbreakable World Tour” mpaka kipindi cha majira ya joto kufuatia kukabiliwa na upasuaji ambao hakuuweka wazi ni wa nini.
Baada ya Janeth Jackson kutangaza hayo kukatokea uvumi kwamba star huyo anakabiliwa na upasuaji wa koo kwa sababu amegundulika ana saratani ( cancer ).
Baada ya uvumi huo kusambazwa na mtyandao wa RadarOnline ,Janet Jackson kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kipande cha video cha dakika mbili amekuja na kuweka mambo sawa kwa kusema hana cancer ya koo na wala upasuaji huo hauusiani na hayo yaliyovumishwa.
Janet amesema amemaliza matibabu hivi karibuni ataingia mtaani kuendelea na ziara yake hiyo ya muziki
ambapo mwezi March 30
atatumbuiza Birmingham, U.K na kendelea mpaka May 3.
Thursday, January 7, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment