Kufuatia rapa na mwanamitindo kuongea kwamba anadhani hayati Tupac amekuwa akipewa sifa na umaarufu asiostahili huku akisisitiza kwamba umaarufu wa Tupac uliongezeka tu baada ya kupigwa risasi nyingi na kuweza kuhimili kuishi na kuonekana nembo ya mtaa zaidi kuhusu maisha yake na jela.
Rappa toka Naughty By Nature Treach amemjia juu na kumpaka rapa na mwanamitindo Kanye West na mkewe Kim Kardashian katika mtiririko wa tweets jana (January 4).
Sambamba na tweets hizo rapa huyo toka pande za New Jersey,Treach alipost picha inayomunyesha Kanye West upande wa kushoto ikiwa na caption “I THINK PAC IS OVERRATED” na upande wa kulia unamuonyesha Tupac ikiwa na caption “NO YOUR WIFE IS” .
0 comments:
Post a Comment