Namba kubwa ya mastaa kuanzia comedian Eddie Griffin na hata rapa the Game wametoa mawazo yao juu ya kinachoendelea kuhusu kesi zinazo mkabili mchekeshaji mahiri na liyependa zaidi,Bill
Cosby.
Bill
Cosb anakabiliwa na kesi za ubakaji alizofunguliwa na waliokuwa washiriki wenzake katika vipindi vya televisheni.
Upande wa rap The Game anaona kama sheria imeelekeza zaidi nguvu katika kesi za ubakaji ambazo haizna ushahidi wa kutosha na kupuuzia kesi za mauaji yaliyofanywa na polisi na kama ya kumuua kijana Tamir Rice ushahidi upo wazi.
Wednesday, January 6, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment