Akijibu mapigo juu ya kashfa ya kumchombeza binti mwanamitindo mwenye umri wa miaka 14,rapa Tyga amesema alihitaji kukutana ana kwa ana na binti huyo kumpima uwezo wake kimuziki ili ajue ataanzia wapi kumsaidia.
Meneja wa rapa Tyga, Anthony Martini,
amesema Tyga alishawishika kutaka kukutana na binti huyo baada ya kikundi ambacho ni timu ya binti huyo kumtilia msisitizo kwamba anakipaji na anahitaji kusogezwa.
Meneja huyo wa Tyga amesisitiza kuwa makutano hayo yalipangwa wamuite studio aonyeshe uwezo wake mbele ya maproducer.
Tazama chati kati ya Tyga na binti huyo hapo chini:
Tazama chati kati ya Tyga na binti huyo hapo chini:
0 comments:
Post a Comment