Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, January 19, 2016



Siri imefichuka,rapa  J. Cole ni mwanandoa.
The Dreamville alilazimishwa kuweka mambo hadharani kuhusu taarifa za mahusiano alipokuwa katika mahojiano na waandishi wa mtandao wa Complex katika siku ya kumuenzi Martin Luther King.
Creed director Ryan Coogler aliwaqshangaza watazamaji pale alipomuuliza swali lililoonekana kama ni la bahati mbaya kwamba: How did getting married change you?”akimaanisha kitendo cha kuoa kimebadilisha chochote kwako? wakati jamii ilikuwa haifahamu kama rapa J.Cole amefunga ndoa.
Cole alishikwa na kikohazi cha kuzuga kabla hajajibu huku akicheka na kurudisha swali kwa muulizaji:“Nobody knows?”“Well, they know now.”
Taarifa zaidi zinasema the lucky woman is Cole’s longtime girlfriend Melissa Heholt.
Wawili hao walikutana wkati wa masomo St. John’s University in Queens, New York ambapo kabla ilikuwapo minong'ono kwamba walichumiana na sasa ni wazi wameoana.

0 comments:

Post a Comment