Meek Mill anauanza mwaka mpya na beef mpya.
Baada ya mwisho wa mwaka jana kuwa katika beef kali na rapa Drake, mwaka huu wa 2016 rapa Meek Mill ameuanza kwa beef na rapa 50 Cent.
Chanzo cha beef hilo ni rappa Meek kumrushia vijembe hasimu wa boss wake,50 Cent katika wimbo wake “Gave Em Hope” kutoka katika albamu ya 4/4
Katika wimbo huo rappa Meek Mill amerap:
“I got 50 reasons say you’re taking d... / And it’s 50 reasons I
should kill ni**as,”
“But for real, ni**a, I been
taking trips with my Philly ni**as / Got the richest chick, she’s from
your ‘hood / Ni**as hatin’ on me, I ain’t really trippin’ / Shit, I’m
good.”
You know the game / If you co-sign a rat, you forever a
rat / We were never with that / You tried to go Money May with that
paper, but now you in debt ’cause you never was that.”
Rapa 50 Cent alijibu mapigo kwa kutuma mitandaoni picha ya Meek na viji emoji ikiwa imesindkizwa na ujumbe (caption)
"Hey , your career is already over. you better focus on
geting Nicki pregnant so you can at least get child support girl."
akimaanisha hey uwezo kwako katika sanaa umefikia mwisho,bora ufanye mpango upate mtoto na Nicki ili baadaye upatiwe pesa za mahitaji ya mtoto.
Tazama picha za vijembe waliyoipost marappa 50 Cent na Meek Mill hapo chini:
Monday, January 18, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment