50 Cent aliuza jumba lake la thamani kwa kiasi cha dola millioni 8 tofauti na bei aliyoitaja hawali ya dolla millioni 18.
Bosi huyo wa The G-Unit imeripotiwa jumba hilo lenye vyumba 21,pools,sehemu ya kutua helicopter, casino na
nightclub,lilikuwa likimgharimu zaidi ya dola 70,000 kwa mwezi.
50 Cent alinunua jumba hilo la kifahari mwaka 2003 kutoka kwa ex-wife wa bondia Mike Tyson kwa gharama ya dola millioni 4.1 na akatumia zaidi ya dolla milioni 6 mpaka 10 kulikarabati .
50 Cent amesema amefiki uamuzi wa kuliuza jumba hilo la kifahari kwa sababu za kibiashara na si kufilisika kama inavyosemekana.
50 aliandika:“When you’re successful and its publicly noted, you become a target.
Thursday, March 3, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment