May 17, 2016 ilikuwa ni kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu rapa star wa kundi la French Montana's Coke Boys,Lionel "Chinx" Pickens auwawe kitaana kwao huko Queens.
Tangu kifo cha Chinx kitokee kumekuwa na kutokuelewana kati ya mama wa rapa huyo bi Veronica Clinton ambapo amekuwa akiwashutumu rapa French Montana na hata kumjumuisha Diddy kwamba wanahusika na kifo cha mwanawe.
Baada ya kuongelewa mara kwa mara katika vyombo vya habari kwamba rapa French Montana hajamtendea haki mama wa rafiki yake kwani hakumwambia nini kilipelekea kifo cha Chinx,hatimaye rapa French Monta amefunguka katika kipindi cha televisheni cha The Wendy Williams Show jana June 7.
French alimwambia Wendy Williams kwamba kazi ya kuchunguza mauaji juu ya kifo na muuaji nia ya polisi.Frenc aliongeza kusema kuwa anampenda mama wa rapa Chinx japo hawajawahi kuwa karibu na wamezunumza takribani mara mbili tu huku hiyo mara ya pili ikiwa ni siku ya mazishi.
Wakiwa mazishini hapo mama huyo alimuuliza French ‘What’s going on with my son?’na French akamjibu: and I
said I told him to stay out the streets, don’t be driving around four in
the morning by yourself or with another person. And she said you’re not
his father."
"And I said okay…”
Akimaaniasha aliwahi kumsihi Chinx kwamba ushakuwa na jina kwahiyo jiepushe na mishe za mtaani,epuka na kutembea usiku wa manane mitaani ambapo mama huyo alimjibu wewe si bba yake mpaka umsihi ndipo French alipojibu,sawa na kuondoka.French pia ameongeza kusema alijitahidi kumsihi Chinx kuachan na biashara ya madawa ya kulevya kwani tayari alikuwa na kipaji cha ku rap.
Sasa umepita mwaka na hakuna aliyekamatwa kuhusika na mauaji ya rappa Chinx.
Wednesday, June 8, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment