Mlinzi wa zamani wa Kanye West,Steve Stanulis ambaye inasemekana alifukuzwa kazi kwa kosa la kuongea na mke wa rapa na m bunifu huyo wa mitindo Kim Kardashian amepanga mpango maalumu wa kumuanika Mr West kwa namn yake.
Steve Stanulis yupo katika mchakato wa kuandaa kipindi cha televisheni kama tamthilia itakayoonyeshwa katika mtandao wa FunnyorDie.com kuelezea maisha yake aliyopitia kama mlinzi wa familia ya Yeezy.
Monday, June 13, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment