T.I. na business partner wake Damon Cobbs wamefungua kilabu cha usiku kilichopewa jina la V Live strip
club huko Atlanta na kuajiri wadada waburudishaji 100.
Wadada hao waburudishaji maalumu wa vilabu vya usiku walipatikana 100 waliokidhi viwango baada ya kufanyia mchujo kwa wadada 1,600 waliojitokeza baada ya kusikia tangazo la kazi katika kilabu hicho cha V Live huko Atlanta.
V Live ni moja kati ya vilabu maarufu huko Houston na hutembelewa na vijana wengi ukiachilia mbali watu maarufu kama Rihanna, Nelly Future.
V Live baada ya ufunguzi mpya kwasasa itakuwa katik ushindani na vilabu vikubwa huko Atlanta kama Magic City na Onyx.
Tip hupendelea sana kutembelea vilabu kama hivyo na mara ya mwisho alitembelea V Live huko Dallas na kutuza kama dola 30,000.
Drake
pia anatajwa kuwa ni mmoja wa wateja wakubwa wa V Live na ametaja baadhi ya vilabu hivyo katika nyimbo zake kama ("No Tellin'") na ("Believe Me").
Monday, June 13, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment