Wahenga walisema wawili wakigombana shika jembe ukalime,hayo yamejidhihirisha pale ambapo mastaa ambao wanatajwa kuwa na beef zito,50 Cent, Fat Joe na Floyd Mayweather kuopnekana wakienjoy masiha pamoja juzi (July 23) hukos Vegas whe.
Ikumbuke kuwa 50 Cent alikuwa ktika beef na Fat Joe 2004 baada ya Fat Joe kushirki katika wimbo wa Ja Rule“New York.” kipindi hicho 50 akiwa katika ugomvi mkubwa na Ja na lebo yake ya Murda Inc.
50 na
Floyd’walitofautiana katika ishu za kibiashara lakini baadaye walitangazwa kumaliza tatizo lao.
Sasa watatu hao wameonyesha kumaliza tofauti zao baada ya usiku wa juzi kuonekana walivinjari pamoja katika kilabu cha usika na kama haitoshi wakapiga picha ya pamoja.
0 comments:
Post a Comment