Si jambo la kwaida kwa mastaa wakubwa kama Beyoncé kukutana na vikwazo na kashfa kama hizi za kuiba ideas za videos na kufunguliwa mashtaka mahakamani.
Beyonce alifunguliwa mashtaka na Filmmaker Matthew Fulks kwa madai ya kuibiwa idea ya short film yake uya 2014 aliyoipa jina Palinoia na kutengenezwa na Beyonce kwa jina la Lemonade .
Waswahili walinena kimya kingi kina mshindo,Baada ya kimya kingi Beyoncé amekuja na majibu ya tuhuma hizo kwa kusema madai hayo hayana mashiko kwani ilamu ya Palinoia inamuongelea “white man ambaye amechanganyikiwa kuisa mahusiano yake kuparanganyika huku Lemonade ikiwa inamuongelewa African-American woman ambaye anapitia wakati mgumu,hasira chuki,kutengwa nk katika mahusiano yake.
0 comments:
Post a Comment