Dr. Dre amejikuta matatani baada ya kuzuka kwa kutoelewana na mwendesha pikipiki aliyemzuia njia alipokuwa akitoka nyumbani kwake huko Malibu.
Taarifa zaidi zinasema Dre akiwa kwenye gari yake alikuwa akitoka getini ndipo alipo alipotokea mwendesha pikipiki aliyegeuza na kumzuia njia,kitendo kilichopelekea Dre kutoa simu yake na kurekodi tukio,baada ya ya Dre kutoa simu kurekodi tukio mwendesha pikipiki huyo alipiga simu 911 kuwataarifu polisi kwamba kuna mtu mweusi kamtishia bastola (“Here we go again, another black guy with a gun, ) na polisi kufika katika eneo latukio na kumtia nguvuni Dre.
Polisi walimsachi West Coast legend na The N.W.A rapper-producer
Dre lakini hawakumkuta na silaha ila tunataarifiwa kesi im,epelekwa mbele.
Tuesday, July 26, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment