Wizkid ambaye kwasasa anatamba kwa kolabo yake na Drake 'One dance' ambayo imefanya vizuri sana mpaka katika chati za Billboard,na track Shabba aliyowashirikisha Chris Brown, Trey Songz na French Montana,ametangaza kuachia kazi mpya na mkali wa miondoko ya ragga dancehall Sean Paul.
Wizkid kupitia tweeter amewashirikisha mashabiki kutoa maoni yao juu ya wanapata picha gani kuhusu kolabo ya Wizkid na Sean Paul na mashabiki walionyesha kushtushwa kwa furaha.
Sean Paul hivi karibuni akihojiwa na waandishi wa jarida la The FADR aliongelea jinsi anavyovutia na mtindo wa wa muziki wa AfroBeat na sond za muziki wa na kusema ilikuwa mpya lakini ilimvutia zaidi baada ya mastaa toka Janmaica Kevin Lyttle na Rupee walipojaribu kuimix na soca .
Tuesday, July 26, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment