Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, July 26, 2016

Rihanna cancels Nice concert after attack

Rihana amewasihi mashabiki zake haswa katika onyesho atalolifanya hivi karibuni huko France kuacha matumizi ya simu na kucheza game wakati akitumbuiza jukwaani
Katika kipande cha video alichokituma Twitter, RiRi amewasihi mashabiki kwamba wakati akitumbuiza anahitaji attention na waepuke kuchatchati na simu.
I don’t want to see you texting your boyfriends or your girlfriends. I don’t want to see you catching any Pokémons .
Hali hii imetokea baada ya Beyonce kumjia juu shabiki aliyekuwa karibu kabisa na jukwa akicheza game ya Pokemon GO wakati yeye anatumbuiza.
Beyonce alisikika akisema:“Thisgirl is finding Pokémon ... when Beyoncé’s singing! ujinga sana Pokémon. 
Pokémon Go is a location-based, augmented reality game for mobile devices developed by Niantic for iOS and Android operating systems

0 comments:

Post a Comment