Unapoongelea maswala ya kuvunja kabati na kuspend mkwanja wa kutosha katika maswala ya kuvalia,familia ya Carter huwezi kuacha kuitaja.
Taarifa zinasema familia hiyo ya Carter katika kuhakikisha wanaacha history katia sherehe za utoaji wa tuzo za MTV VMAs bada ya Beyoncé kutajwa katika categories kuwania tuzio mara 11 na kushinda tuzo 7 kutoka katika albamu yake ya Lemonade,walivaa mavazi ya gharama kubwa.
Binti yao Blue Ivy alivalishwa kigauni kilichonakshiwa kwa dhahabu na ito vingine kilichotajwa kugharimu dola 10,950 huku mama yake,Beyonce aliyetumbuiza nyimbo “Hold Up” na “Sorry”; alionyesha fashion show ya kubadili mavazi kwa kila tukio ambapo taarifa zinasema mavazi hayo yaligharimu zaidi ya dola million 13.
Tuesday, August 30, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment