Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, August 30, 2016

Mariah Carey's sister, Alison begs her to release her from psychiatric ward

Siku ya ijumaa August 26, 2016,dada wa Mariah Carey 55 ambaye ni HIV positive alikamatwa na polisi nchini marekani.
Taarifa toka polisi zinasema dada huyo wa Mmuimbaji Mariah Carey alikuwa akimshawishi polisi aliyekuwa katika mavazi ya kiraia ampatie pesa wakaserebuke kitendo ambach ni uvunjifu wa sheria.
Polisi wamesema nbbaada ya kumkamata aloijitambulisha kuwa yeye ni Alison dada wa Mariah Carey ambapo polisi walikusanya taarifa zake na kumgundua kuwa ndiye dada wa Maria mwenye HIV.Kufuatia tukio hilo polisi wametoa tangazo kwa yeyto aliyejihusisha naye aende hospitali kuangalia afya yake.
Dada huyo bado anashikiliwa na polisi.
Alison pia amekuwa akijitangaza katika internet na moja kati ya post zake zinasema:
"I'm a pretty lady looking for guys who are looking to have some fun and get into a world of pleasure that other woman just can't provide to you, woman with the ability to make the earth move for you and to get you to see stars, oh yea with me its,

0 comments:

Post a Comment