Mkali wa miondoko ya Afro pop na ku dance nchini Tanzania.Msami,aesema watu wengi wanamtazama kwamba ni mkali zaidi upande wa ku dance lakini kwa upande wake amesema vyote vinawiana ingawa kucheza ameanza kitambo kabla ya kuimba na amekili kucheza ndiyo kunampaga maksi zaidi haswa awapo jukwaani.
Masami ambaye ndiye aliyeongoza mtindo wa ucheaji katika video ya wimbo wa Dully Sykes ''Inde' pia amesema anampango wa kuanzisha kikundi cha vijana atakaowafundisha kucheza watakaokuwa chini yake.
Monday, August 22, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment