Idris Elba ambaye ni msiri sana na maisha yake binafsi amekanusha tarifa hizo kupitia mtandao wa tweeter kwa kuandika:Am I sleeping with Madonna? ‘Don’t believe the Hype.’”
Taarifa za Idri Elber kujihusisha kimapenzi na Madonna ziliandikwa na gazeti la The Sun kwamba wawili hao walionekana wakiwa karibu kimapenzi wakati wa onyesho la kwanza la kickboxing aliloshiriki Idris.
Elba na Madonna wanatajwa wapenzi kwa kuwa karibu kwani ukiachiliam mbali Madonna kuhudhuria onyesho lake la kickboxing pia Idris alishiriki kama DJna mgfunguzi wa onyesho la Madonna huko German .
Idrissa Akuna "Idris" Elba, OBE kazaliwa 6 September 1972)[2] is an English actor, musician and DJ.[ameigiza filamu kama ameigia filamu kama Nelson Mandela : Long Walk to Freedom(2013).American Gangster (2007), Takers (2010), Thor (2011), Prometheus (2012), Pacific Rim (2013), Thor: The Dark World(2013) and Beasts of No Nation (2015, for which he received BAFTA and Golden
0 comments:
Post a Comment