Muimbaji mahiri wa mitindo ya rnb akliyetamba narekodi kama this is how we do it ambaye sasa ni mlokole Montell Jordan amepokea habari ugonjwa za rapa na m bunifu wa mitindo Kanye West kwa masikitiko na kusema hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya hapo na ili isiwe mbaya inabidi ampigie amsogeze karibu na Mungu kwani ndiyo tiba ya uhakika.
Rapa rapa na m bunifu wa mitindo Kanye West bado yupo chini ya uangalizi wa madaktari kufuatia kusumbuliwa na uchovu,kupungukiwa maji na a mental breakdown .
0 comments:
Post a Comment