Muimbaji mahiri Mariah Carey ametangaz kupumzika kujihusisha na matumizi ya mitandao ya kijamii (social media) kufuatia lawama za kuzodolewa kunakoendelea baada ya madudu yalitokea katika onyesho lake la kukaribisha mwaka mpya.
Katika sauti iliyotumwa mitandaoni January 8, 2017, Mariah amesema anajipumzisha na kujihusisha na matumizi ya mitandao ya kijamii ili kujipa muda wa kujianda na ziara yake ya muziki inayokuja inayotarajiwa kuanza mwezi march.
Maria aliandika, "I'm gonna take a break from media moments, social media moments,' Although I am going to fulfill my professional obligations, this is an important time for me to finally take a moment for myself and to deal with my loved ones and to prepare for my upcoming tour in March… I can’t wait to sing for you again.
"I want everyone to know that I came to New Year’s Eve in New York in great spirit and was looking forward to a celebratory moment with the world
"It’s a shame that we were put into the hands of a production team with technical issues, who chose to capitalise on circumstances beyond our control."
Onyesho la Mariah Carey ambalo lilikuwa likionyeshwa mubashara katika televisheni liliingia doa baada ya mitambo kuleta mushkeri.
0 comments:
Post a Comment