Polisi nchini ufaransa inawashikilia watu 17 akimo na dereva wa gari aina ya Limo alilokuwa akitembelea US reality TV star Kim Kardashian West alipokuwa Paris mwezi October kufuatia tukio la kuporwa mali na vito vya tahamini..
Polisi wamesema walikamata bunduki na kiasi kikubwa cha pesa japo na hawakufanikiwa kukuta vito vya Kim Kardashian.
Polisi wamesema imewatambua watuhumiwa wawili wa tukio la uporaji lilitokea katika luxury apartment alimopanga Kardashian ambapo aliporwa vito vya thamani isiyopungua (£7.8m) kupitia vipimo maalumu vya fingerprints.
Tarifa zaidi zinasema watuhumiwa waliokamatwa watahojiwa kwa masaa 96 na tumetaarigfiwa kwamba katika watuhumiwa hao kuna vijana kuanzia umri wa miaka 22 Tna mtu mzima wa miaka 72.
Tukio la kuvamiwa na kuporwa mali US reality TV star Kim Kardashian lilitokea usiku wa tarehe 2-3 October.
0 comments:
Post a Comment