Kaa chonjo AKA, rapa toka South Africa Cassper Nyovest amejikweza kwa kujivisha kofia ya msanii mubwa na kinara wa muziki wa hip-hop barani Africa.
Katika mahojiano na moja ya radio huko South Africa, Cassper amejigamba kwamba anastahili cheo hicho cha msanii mubwa na kinara wa muziki wa hip-hop barani Africa kwasababu ya mambo makubwa aliyoyafanya katika muziki huo Africa.
Cassper ametamba na kusema “Go to America now and ask them about African hip-hop and there is
one name that will always pop up and that’s because of the things we
have done here:akimaanisa hata ukienda Amerika ukiwauliza kuhusu hiphop kwa Africa watakutajia jina la Cassper kwasababu ya makubwa niliyoyafanya
Cassper pia amesema maonyesho lake makubwa na ya kihistoria ya Fill Up Orlando Stadium na Fill Up
the Dome yamemuweka katika ramani ya kuwa yeye bora zaidi katika hiphop kwa bara la Africa.
Hit maker huyo wa Doc Shebeleza amesema ili kuliteka soko la kimataifa inatakiwa uwe umejikamilisha nyumbani .
Wakati Cassper akifanya hayo hali si nzuri kwa mpinzani waku mkubwa Aka ambaye hivi karibuni ametajwa kumwagana na mpenzi wake wa siku nyingi ambaye ni mtangazaji wa TV Bonang Matheba,katika muendelezo wa tukio la kumwagana aliyekuwa mpenzi wa Aka South African media personality Bonang Matheba kupitia mtandao wa Twitter amezidi kuwachanganya mashabiki kufuatia ujumbe alioutupia uliosema:“things won’t be the same”.
Habari za mastaa hao kumwagana zilizihirishwa na AKA ambaye kupitia mtandao waTweeter aliandika: “Sad to announce that myself & @bonang_m have broken up. We tried guys,”
He went on to say that guys should never “love a woman more than she loves you”.
Lakini baada ya masaa kama 24 wawili hao walionekana wakibusiana na kama wamemaliza tofauti zao But in less than 24 hours, the couple had kissed and made up.
“I love you @bonang_m … I’m just a bit crazy & intense …. I’m sorry baby. We good,” the One
Monday, February 20, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment