Akiwa katika mahojiano Remy Ma ambaye ametoa diss track kum bomoa Nick Minaj iliyopewa jina la “SHETHER,” ameongelea mpango wake mpya baada ya diss track yake hiyo kukosa majibu.
Remy amesema hana mpango wa ku m bomoa tena mwanamke yeyote mwingine kama alivomfanyia Nicki Minaj.
Remmy amesema anaamini wanawake wakiunganisha nguvu watafanya makubwa na anaziheshimu sana jitihada binafsi zilizofanywa na wadada wanaofanya vizuri kwenye game ..
Remmyu pia amesema ajigambi japo goma lake “SHETHER.” limetamba na limekosa majibu bali sasa anageukiwa katika kupambania nguvu ya wanwake na ikibidi collaboration.
0 comments:
Post a Comment