2017 Joey Bada$$ aliuambia mtandao wa Rap-Up kwamba anataka kuwa sauti miongoni mwa ma rapa ambao ni wakizazi chake huku akisisitiza alipata msukumo toka Legend Tupac Shakur.
Sasa katika mahojiano na jarida la Genious Joe amesema: “I believe that every generation that comes after has the opportunity to outshine the previous generation,” akimaanisha anamini kila kizazi kinatoa nafasi ya wasanii wengine kung'ara na kuwapoteza waliong'ara awali.
Joey aliendelea na kufika mbali na kusema he already feels he’s a “better rapper” than
‘Pac was.
Thursday, March 2, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment