Muimbaji mahiri nchini Nigeria Korede bello ametetea hali ya baadhi ya wasanii kuonekana wakifanya vitendo ndivyo sivyo na kuviposti katika mitandao kwa kusema,ukiona msanii anagida ugimbi anma analipuiza na anapost katika snapchat,usim beze wala kumsukuma jua A hit single
is on its way.
Korede bello amesema hits songs zinapatika katika mazingira usiyoyazania mfano yeye alipata idea ya wimbo “’Do like that’ akiwa katika sherehe ya harusi ya Tiwa savage na kujirekodi katika simu baada ya kuhisi kuna kitu kimemjia lakini alikuwa kashautwika. Korede ameongeza kusema kesho yake alisahau alijirekodi kitu gani so baada ya kusikiliza voice notes zake akakutana na Do like that na kushtuka kama mbona kama bonge ya kitu na alipomtumia Don Jazz jibu lilikuwa ni unangoja nini kufika studioni?
Do like that’imepakuliwa mitandaoni zaidi ya mara 11 million na imetazamwa zaidi ya watu millioni 23 katika na ilikuwa moja kati ya kazi yake kubwa kwa mwaka 2016, na lilipush albamu yake ya “Believe”.
Thursday, April 27, 2017
Mwingine mwenye story kama hiyo ni Adekunle Gold is another
great example of how inspiration can strike at you at the mot odd hour.
His song, ''‘Pick up''’ came to him in the most crazy circumstances. He was
billed to perform at an event, and he arrived in his personal car only
to be ‘insulted’.
He tells the story: “About
six months ago, I went for a gig I was billed to perform at. When we
arrived at the venue of the event in my baby boy, security said there
was no parking space inside. My manager, stepped up to him and explained
that I could not park outside but for me I do not like wahala , I
wanted to park outside but Louis, my manager, insisted that he saw spots
we could park inside.
“We were
there for about five minutes talking and talking; behold! A tear rubber
Range Rover drove to the same gate and the guards with no question
whatsoever opened the gate. I could not even weep; it was then dawned on
me that I had a car that was invented in 1999. When I got home that
night, ‘Pick up’ was waiting for me to write.”
That
night inspired Adekunle Gold to write one of his most important and
successful singles to date. ‘Pick up’ climbed the charts, got nominated
for awards, and transformed into the ultimate street lingua for hope.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment