Akiwa katika onyesho katika ukumbi wa Garden City, Idaho siku ya jumapili (Apr. 23), the Young Money rapper alikatisha oonyesho lake hilo baada ya sjhabiki mmoja kumrushia kopo la kinywaji japo halikumpata.
Baada yatukio hilo Lil Wayne alisema:
“Look, “Let me tell you something. I don’t know if you thought I was a buster, but I’m rich, so I can’t throw nothing back.”
Lil Wayne aliwaamrisha watu wake waje jukwaani huku akiamuru aliyemrushia kopo atajwe zoezi ambalo halikufanikiwa ndipo alipoamua kuacha kuendelea kutumbuiza.
0 comments:
Post a Comment