Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, April 24, 2017

Tiwa Savage
Muimbaji Tiwa Savage ametetea washereheshaji kuandamwa upande wa vivazi na kudaiwa wanazidisha kujiweka wazi maumbile yao.

Tiwa Savage amesema ni kweli inawezekana ikawa ma entetners wanavaa vivazi vya kukwaza lakini shughuli zao zinawalazimu kuwa na muonekano tofauti na mvuto hivyo kama kama vipi wafanye marekebisho na siyo kufungiwakama inavyosemekana.

Tiwa aliyasema hayo wakati anahojiwa katika Televisheni huko Nigeria na kuulizwa anapokea vipi swala na kutaka kuwafungia waqsanii wanaovaa vivazi tata.


0 comments:

Post a Comment