Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, July 3, 2017

 Kanye West and JAY-Z
Taarifa zinadai star Kanye amesema hatofanya uzinduzi katika mtandao wowote wa kuuza kazi za wanamuziki kwasababu alizoziema amejifunza kutokana na makosa baada ya kuzindua na Tidal ya Jay Z na kuuchana mtandao huo una masharti mengi na unacheleweshaga kazi.
Taarifa zaidi zinasema Kanye yupo mbioni kuachia albam lakini anatazamia kufanya kazi na mtandao ambao hauna longolongo na upo fasta ili pindi atoapo kazi mashabiki wapate kwa wakati.
Mtandao wa TMZ uliripot habari ya rapa na mwanamitindo Kanye kujitoa Tidal kwa sababu za kutofautina kimaslahi na hhii itapelekea pande hizo mbili kumalizana kisheria lakini wakati hayo yakiendelea pia utata mkubwa unaripotiwa baina ya Kanye na Jay-Z ni kuhusu rapa Jay z kumdiss Kanye katika album yake mpya "4:44".
Jay z ambaye bado yupo katika furaha ya kupata watoto mapacha Rumi na Sir Carter hajasema chochote kuhusu haya.

Kanye's business beef with Tidal predates the release of Jay-Z's album "4:44" ... in which he disses 'Ye
Sources with knowledge of the conflict between Kanye and Tidal tell us Kanye does not want to enter into any more exclusive album releases or contracts with streaming services to host any upcoming projects of his, because he wants to avoid what happened on Tidal ... too limited access for far too long.

0 comments:

Post a Comment