Muibaji mahiri wa Nigeria Kiss Daniel aelezea sababu za baadhi ya wasanii wa Nigeria kutofanya collabo na yeye kujitetea kwamba label yake kuna sheria ya no-collaboration ambayo imekaa kibiashara na faida kwa kampuni.
Kiss Daniel na muimbaji Sugarboy ni wasanii wa leebo ya G-Worldwide Entertainment
have na hawana nyimbo walizoshiriki nje ya record label wanayofanyia kazi.
CEO wa G-Worldwide Entertainment, Festus Ehimare aka Emperor Geezy amefafanua sababu za kuhusu uamuzi wake wa kutoruhusu kolabo.
Geezy amesema:
I grew up listening to Michael Jackson, Fela, Oliver de Coque, Osita
Osadebe, King Sunny Ade and so many others, and when I look at how
music was created and marketed then, I see that these men, beyond being
such amazing creatives, put a lot of effort into creating unique
identities
My own experience has shown that money alone cannot suffice; rather
what is required is a mix of talent, hard work, considerable resources
and most importantly the ability to think and execute radical strategies
to retain a hold in the market.
Monday, July 3, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment