Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 5, 2017

 Wizkid and parents

The 'Come closer' singer  Wizkid is ameweka wazi kwamba mwanamke anayemzimia zaidi duniani ni mama yake,Wizkid aliyasema hayo wakati akisherekea siku ya kuzaliwa mama yake  July 4, 2017 kwa kusema,nimeongea na mwanamke ninayempenda zaidi kwa takribani lisaa,akimaanisha mama yake japo maelfu ya mashabiki walitarajia kusikia labda ni mpenzi wake.

Akishre kupitia mtandao wa tweeter Wizkid aliandika: Mama wiz's Day today!!! Love u forever!! na kuongeza :Everything for mama!

Star huyo toka pande za 'Ojuelegba' Wizkid pia alifunguka kwamba alihama maisha duni ya ambayo ameyaita ya ghetto akiwa na umri wa miaka 15 lakini pia ameweka wazi kwamba wazazi wake bado wanaishi huko 'Ojuelegba' baada ya kugoma kuhamishhwa katika mjengo wa kifahari aliowajengea huko Lagos.

Wizkid bado nyota yake inang'ara kwani yupo katika lebo ya  Sony/RCA Records na albamu yake ya “Sounds From The Other Side” atazindua July 14, 2017.
Kwa mwaka huu pekee Wizkid amekomba tuzo mbalimbli zikiwemo za iHeart Radio, Echo, BET na Billboard.

0 comments:

Post a Comment