Burna Boy matatani na vyombo vya usalama nchini Nigeria.
Kwa mujibu wa polisi Burna Boy akikutwa na hatia anaweza kufungwa zidi ya miaka 21 gerezani kwakuwa sheria za Nigeria ya makosa ya kinai ya mwaka 2011 kifungu no,294 na 295 mtu yeyote atakayenyang'anya ama kuiba kwa kutumia nguvu na vitisho ni kesi ya Robbery ( wizi wa kutumia silaha)
Burna boy anatafutwa na polisi wa Nigeria wamemtaka ajisalimishe kufuatia kosa la utekaji na shambilizi dhidi ya msanii mwenzake Mr 2kay lilitokea katika hoteli ya Eko Hotels & Suites.
Burna
Boy bado hajajisalimisha mikononi mwa polisi japo timu yake wametoa maelezo wakipinga msanii wao kuhusika na tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment