Nigerian singer, Tiwa Savage mara nyingi hutumbuiza miguu peku na akiulizwa amekuwa akijibu kuwa akitumbuiza peku anakuwa mahiri zaidi.
Hivi juzi Tiwa aliktumbuiza akiwa pekupeku katika sherehe za utoaji wa tuzo za AFRIMA na kuwaacha hoi mashabiki kwa umahiri wake wa kuimba na kushambulia jukwaa.
Pamoja na burudani nzuri aliyoitoa,mashabiki wameanza kujenga hoja kwanini star huyo huwa anatumbuiza peku peku? huku wengine wakimsema huwa anaiga sana rihann na Beyonce.
Shabiki mmoja anayesomeka kama kfalade03 aliandika:i love your music butn you should learn to perform with heels,imagine on stage with Rihanna or Beyonce and you show up without shoes?
Tiwa Savage clapped back at Nigerian trolls, reminding them that she earns good money for performing barefoot.
She shared the above post and wrote;
Thursday, November 16, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment