Weekend kumekuwa na minong'ono kwamba star Wizkid amepata mtoto wa tatu huku mama wa mtoto huyo akitajwa kuwa ni manager wake .
Wakati minong'ono inaendelea Wizkid kama ameamua kuweka mambo hadharani baada ya kupost ujumbe “Zion Ayo-Balogun #Godsblessing! ujumbe ulioambatana na chupa za watoto za maziwa.
Inasemekana kwamba mtoto huyo anayetajwa kuwa wa tatu kwa Wizkid amezaliwa kama wiki mbili zilizopita na hii ni baada ya kumpatia ujauzito manager wake anayefahamika kwa jina la Jada Pollock .Taarifa za awali zinasema Wiz na
Jada walianza mahusiano ya kimapenzi miezi kadhaa tangu waanze kazi.
Tuesday, November 21, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment