We The Best's DJ Khaled ameendeleza azma yake ya kutaka kumuoa Young Money starlet Nicki Minaj na ameelezea back-up plan zake kama binti huyo hatomkubali.
Dj Khaleed amesema katika interview ''I ain't a young boy
anymore, "I just had to be honest. I've
always liked her, she's my friend, of course, and I like her. It's more
than just a crush. I want to be honest -- she's out there hustling and I
respect that. I can take care of her and not just that, she's
beautiful. ... Of course I want to marry her. I'm sure there's other
people who want to marry her. I just felt like I want to be honest with
her. ... I love the girl, I like her. ... If she says no, it's all good.
She's my friend. She might not be ready for marriage. I want kids, I
want a lot of things, you gotta be ready for this, but, I'm gonna keep
it real, I'm going to tell her how I feel. ... She might say yes tonight
or tomorrow, she might say yeah next year. I'm never gonna give up. I
don't ever give up on nothing I do.".
Wakati haya yote yanaendelea ifahamike tu kwamba Khaleed alikuwa ktk ndoa na mwanadada mmoja anayetambulika kama Nicole Tuck ambaye kwa mara ya mwisho alionekana naye ktk Grammy awards za mwaka 2012.
Rick Ross amshauri Nicki Minaj kuhusu proposal ya DJ Khaled
Khaled
is married, we think, to Nicole Tuck. The couple was spotted at the
2012 Grammy Awards - See more at:
http://hiphopwired.com/2013/07/28/dj-khaled-talks-nicki-minaj-proposal-doesnt-mention-hes-married-listen/#sthash.Yeqaj2IF.dpuf
Rapper Rick Ross mtu a karibu wa Khaled,lakini anakiri kwamba hakuwa na ide kwamba mtu mzima Dj Khaleed atapropos live kwa tv,lakini ilipokuja juu ya nini maoni yake ndipo boss huyo wa MMG aliposema
anamshauri Nick aridhie ombi kwani ndiyo muda muafaka.”
TYGA MATATANI NA VIDEO QUEEN WA TRACK YAKE ''MAKE IT NASTY''
Katika hali isiyo kawaida rapper Tyga amejikuta matatani na video queens wawili walioshiriki katikavideo yake ya ''make it nasty'' ambapo mabinti hao wameikia hatua ya kusema wanataka kulipwa dola million 10 kila mmoja.Mtandao wa TMZ unareport wanadada hao ambao ni Elizabeth na Azia Davis wameamua kufungua kesi hiyo ya madai kwa madai kwamba kuna baadhi ya vipande vya video vinavyoonyesha sehemu za miili yao vimerushwa bila idhini yao na kusema kwamba waliambiwa havitarushwa.
ALIYEKUWA DIRECTOR WA VIDEO ZA FUGEEZ JELA MIAKA 90
Aswad Ayinde 55 aliyewahi kushinda tuzo ya mtv music video award kwa ku direct Fugees Smash hit "'Killing me sotly'' amehukumiwa kifungo cha miaka 90 jela baada ya kukutwa na hatia ya mfululizo wa matukio kinyama na uvunjifu wa sheria,amewahi kuwajaza mimba mabinti zake6 na kama haitoshi hivi karibuni amem baka binti yake wa umri wa miaka 8.
The
award-winning video director charged with the brutal, bizarre raping of
his six daughters, resulting in six children being fathered, to create
“a pure family bloodline” will be spending the rest of his life in jail.
- See more at:
http://news.revolt.tv/former-fugees-video-director-sentenced-to-90-years-in-prison-for-impregnating-children/#sthash.fphWb6JK.dpuf
Former
Fugees Video Director Sentenced To 90 Years In Prison For Impregnating
Children - See more at:
http://news.revolt.tv/former-fugees-video-director-sentenced-to-90-years-in-prison-for-impregnating-children/#sthash.fphWb6JK.dpuf
Tyga Sued By Video Vixens For $20
Tyga Sued By Video Vixens For $20M
0 comments:
Post a Comment