Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, September 21, 2013

Kanye West
Rappa Kanye West amjigamba na kuelezea kuwa yeye ni gwiji maarufu ulimwenguni alipofanya mahoojiano na BBC Radio 1.Rappa Kanye West amesema:sisi ni maarufu ni mimi ndiye kigogo wa maarufu katika ulimwengu wa leo(“We the real rock stars and I’m the biggest of all of ‘em,“I’m the number one rock star on the planet now.”)
Rappa Kanye West pia amezungumzia mitindo na kujigamba monekano wake katika moja ya matukio ya dhuria jekundu umewapa fundisho la kuvaa ma rappa wengi,.
Katika mahojiano hayo wamezungumzia pia mafanikio aliyoyapata kutoka katika muziki ikiwemo albamu yake ya mwaka 2010 My Beautiful Dark Twisted Fantasy ambayo Kanye anasema ilikuwa kamili na kuongeza kujigamba anajuamkufanya kazi kamili na bora.Mahojiano hayo yenye sehemu nne yataruka siku ya jumatatu tar 23/09.

0 comments:

Post a Comment