Sean Kingston ameshitakiwa na sonara wa NYC kwa kutoweka na vito mbalimbali bila malipo.
File la mashitaka dhidi ya Sean Kingston lililofunguliwa huko New York,linasema Kingston anadaiwa zaidi ya dolla 200,000 na sonara Avi Da Jeweler kwa kuchukua vito hivyo miaka ya 2008-2013.
Sonara huyo amesema Kingston alikuwa akimuandikia checki zaidi ya mara 7 lakini zote ziligomewa na mabenki.Avi anadai Sean Kingston alichkua saa,cheni,pete,diamond zenye nembo ya "Jesus piece na bracelet alichukua siku anaenda katka kipindi cha televishenicha BET "106 & Park".
Avi amesema anadai dolla 226,200 ila nahitaji zidi ya fidia ya usumbufu.
Friday, August 29, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment