Pre-VMA party iligeuka vita jumapili usiku na kumalizika kwa watu kadhaa kujeruhiwa akiwemo The former Death Row Records CEO,Suge Knight.
Mtandao wa TMZ,umeripoti kwa milio kadhaa ya risasi ilisikika ndani ya 1OAK nightclub huko West Hollywood mida ya saa 7:30 usiku.
Imeripotiwa Knight ameshambuliwa kwa risasi 6 tumboni,mkononi na kwingine na akakimbizwa hospitali kw gari maalumu la kubebea wagonjwa (ambulance).
Taarifa zaid zinasema kiongozi huyo wa Death zamani alishambuliwa kwa risasi dakika chache baada ya kutoka kuongea na muandaaji wa pati hiyo,CHris Brown.Katika tukio hilo tunataarifiwa mtu mmoja yupo mahuti na Suge Knight alitembea mwenyewe kuelekea katika gari la polisi baada ya kushambuliwa alipelekwa pia chumba cha wagonjwa mahututi,ICU.
Monday, August 25, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment