Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 11/19/2014 02:34:00 AM
No comments

Kitu kiubwa katika kiwanda cha muziki wa Hiphop kinakuja,akiongea katika mahojiano na watangazaji wa Mtv tarehe 18 nov,aliyekuwa mke wa Christopher Wallace’ aka Notorious B.I.G, Faith Evans,amesema atatoa albamu ya pamoja na mumewe huyo ambaye imepita karibuni miongo miwili tangu auwawe kwa kupigwa risasi.Faith amesema albamu hiyo itaundwa na nyimbo za marehemu B.I.G ambazo hazikuachiwa na baadhi ya nyimbo zake.
0 comments:
Post a Comment