
Jay Z ametajwa kushika namba 3 katika watu maarufu waliotafutwa zaidi katika mitandao kwa mwaka huu wa 2014 zoezi lililosiamiwa na Ask.com.
Mtandao huo umethibitisha kutuafutwa kwa watu maarufu ambapo kumezidi mara millioni 100 kuanzia mwezi January 1 mpaka November 15.
Rappa Jay Z ameshika nafasi ya 3 na juu yake wapo mastaa kama Robin Williams aliyeshikia namba1 na Jennifer Lawrence namaba2.
Tazama orodha hapo chini:
Saturday, November 29, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment