Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, November 29, 2014

Busta Rhymes
 Busta Rhymes ilibidi aende hospitali kwajili ya uangalizi zaidi wa kichwa baada ya kuanguka toka jukwani mpaka chini na kupasuka siku ya ijumaa kichwa huko New York.
Taarifa zaidi zinasema Busta alikwenda katika tamasha hilo kama mgeni surprise appearance katika ukumbi wa Webster Hall kaika tamasha la msanii mwenzakeO.T. Genasis’na laipanda ajili ya kutumbuiza naye wimbo “Coco,” na ndipo Busta alipojikuta ameteleza jukwaani na kuanguka chini walipo mashabiki akitanguliza kicha.
Baada tu ya kuanguka walinzi walifika mara moja na kumuokoa na baadaye akiwaambia mashabiki wake kamba yupo salama japo amechanika kichwani na ametokwa na damu.

0 comments:

Post a Comment