Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, November 28, 2014

Miley Cyrus Pregnant: Pop Star Reportedly Expecting Child With Boyfriend Patrick Schwarzenegger
Miley Cyrus ameripotiwa kuwa mjamzito na anataraji kuwa mama akiwa na umri wa miaka 22 na ujauzito huo ni wa mtoto wa muigizaji nguli wa filamu wa Hollywood,Patric Schwarzenegger.
Taarifa zaidi zimesema,Miley Cyrus amejua anaujauzito yapata mwezi sasa baada ya kufanya vipimo mara mbili.
Pop star huyo amekuwa katika mahusiano na Patric Schwarzenegger kwa muda sasa nawana history pamoja kwani Miley Cyrus na Patrick Schwarzenegger washaingia katika mahusiano ambayo hayakudumu mwaka 2011.

0 comments:

Post a Comment