
Christmas imemjia mapema rappa Meek Mill,imetangazwa rappa huyo ametoka jela huko Philadelphia correctional facility alipokuwa amefungwa tangu mwezi July kwa kuvunja masharti aliyowekewa na amahakama ya makosa ya vitendo viovu na imiliki wa silaha kinyume cha sheria.
Rappa Mill ametoka jela ila ataendelea na adhabu ya kuruhusiwa kusafiri nje ya Philly na kufanya kazi za kijamii ambapo bado haijafahamika majukumu yake katika adhabu hiyo.Chriss Brown alipewa adhabu ya kusafisha mazingira machafu.
Wednesday, December 3, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment