Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, February 25, 2015

Chris Brown Canada

Chris Brown alizuiwa katika mpaka wa Canada ikiwa ni masaa kadhaa kabla ya kwenda kutumbuiza katika tamasha maalumu la ziara ya muziki ya Chris Brown na Trey wakisindikizwa na Tyga .Brown alitweet, "The good people of the Canadian government wouldn't allow me entry. I'll be back this summer and will hopefully see all my Canadian fans!".
Chris Brown,Trey Songs na rappa Tyga walitakiwa kutumbuiza katika ziara yao ya muziki waliyoipa jina la Between the sheet ambalo lilipangwa kufanyika huko Montreal siku ya jumanne na siku ya jumatano ilipangwa kufanyika Toronto.Chanzo kimoja cha karibu na mastaa hao kimedai tiketi za matamasha yote hayo ziliisha.
Taarifa zaidi zinasema Canada hawapokei wageni wahalifu ama wanaokabiliwa na kesi.Chris Brow bado anakabiliwa na kesi ya kumpiga aliyekuwa mpenzi wake,Rihanna mwaka 2009 na pia anakabiliwa na kesi mbalimbali.



0 comments:

Post a Comment