Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, February 20, 2015

Iggy Azalea

Hit maker wa ngoma ''Fancy'',Iggy Azalea ametangaza kujing'atua katika mitandao ya kijamii haswa mtanda wa Twitter.Iggy hivi karibuni alirejea akitokea mapumzikoni huko Hawaii na boyfriend wake,Nick Young na kukaribishwa na picha zake mbaya mitandaoni zikimuonyesha akiwa na michirizi na ngozi yake ina mabonde kitu ambacho kilimkera sana.
Kufuatia kukerwa huko,Iggy ameamua kujitoa katika mitandao na aliandika ujumbe huu : “But I also want to let my fans know iam taking some time away from social media. I need to be happy and it is too negative and draining.”


0 comments:

Post a Comment