Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, February 19, 2015

Vanilla Ice Arrested On Burglary & Theft Charges
Vanilla Ice alikamatwa kwa makosa ya wizi vifaa na fanicha na wanausalama jana (Feb 18) huko  Lantana, Florida .
Rappa huyo ameiba thamani za ndani , bicycles na hita za swimming poll katika nyumba moja iliyotelekezwa iliyopo maeneo ya Sunshine State nyumba ambayo Vanilla Ice aliwahi kuikarabati na kuitumia katika vipindi vyake yva televisheni vya The Vanilla Ice Project mwaka 2010.
Mmiliki wa nyumba hiyo amesema hakutoa ruhusa kwa rappa huyo aliyewahi kutamba na kibao cha Ice Ice Baby kuchukua chochote katika nyumba hiyo hivyo kupelekea polisi kumchukulia hatua na kumfungulia mashataka ya wizi wa mali.
Baada ya polisi kufanya msako katika nyumba ya Vanilla Ice huko Palm Beach County walikuta baadhi ya vitu hivyo na kuvirudisha kwa mmiliki.

0 comments:

Post a Comment