Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 8, 2015

 
Kufuatia kesi yake ya kugonga watu wawili na kukimbia,ambapo mmoja alifariki mwezi January,kuna mtandao maalumu ulioanzishwa na mwanasheria wa Suge Knight wa kusaidi na kumchangia mdau huyo wa hiphop aweze kupatiwa dhamana.Mwanasheria KJ Smpson alifungua mfuko huo kupitia mtandao wa GoFundMe
Taarifa za awali zinasema mapa mwishoni mwa mwezi March,harambee hiyo ilikusanya kiasi cha 
........... Knight's bail was raised to $25 million.
Mtandao wa mfuko huo umepewa jina la The "Help Bail Out Suge Knight Fund" na mwanasheria wake bwana KJ Simpson January 31,siku mbili baada ya tukio hilo la kujeruhi na kusababisha mauaji huko Compton, California.
Mfuko huo wa kuchangisha umeanzishwa kufuatia masharti ya dhamana yaliyotolewa na mahakama kuu ambapo imemtaka muanzilishi huyo wa studio za Death Raw kuwekewa ama kujiwekea dhamana ya kiasi kisichopungua dola millioni mbili.
Taarifa zaidi ziansema,Suge Knight anaweza akaachiwa ikiwa atatokea mdhamini atakayeanza hata kwa kulipa asilimia 10 na kushika dhamana ya kuhakiki anafika mahakamani kila tarehe atakayopangiwa.

0 comments:

Post a Comment