Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 7, 2015

 
Picha za Wiz, Amber na mtoto wao Sebastian wakila bata sikuku ya pasaka zilisambaa mitandaoni wiki hii na hii inaonyesha Wiz Khalifa mkewe aliyemtaliki Amber Rose wamemaliza mataizo yao.
Baada ya wawili hao kuungana na kula bata kifamilia,mtandao wa HollywoodLife unaripoti kuwa mwanamieleka wa WWE na muigizaji wa filamu , John Cena ndiye aliyesaidia mapatano hayo ya Wiz kumrudia Rose na kuwa karibu na mtoto wao Sebastian.
Mtu wa karibu na Wiz anasema rappa huyo aliongea sana na John kabla ya kupanda kutumbuiza March 9 katika muendelezo wa matamasha yake ya Monday Night Raw kwao huko Pittsburgh, Pennsylvania. Ushauri wa Cena kwa Wiz ulimpelekea rappa huyo mwanachama wa kundi la Taylor Gang kumtafuta Rose ambapo tunataarifiwa rappa huyo alimpigia simu mma mtoto wake huyo na kumtaka aangalie jinsi anavyo tumbuiza na kumwambia asikilize sehemu ya wimbo  “Go Hard Or Go Home,” wimbo uliotumika kama soundtrack katika filamu ya Furious 7 .
Baada ya Rose aliwashirikisha mashabiki wake wa Instagram kuhusu ujumbe alioupata toka ka mumewe na kuandika sehemu ya wimbo huo:
 “We went wrong somewhere and even if we never ever get back together ( Even tho I pray, dream and hope we do) he will forever be the love of my life," 
 

0 comments:

Post a Comment