Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, April 6, 2015

 
Timu ya waadishi wa blogu hii inasema Congratulations kwa Kendrick Lamar.
Rappa huyo toka pande za The Compton,amemchumbia mpenzio wake wa siku nyingi tangu wakiwa high school,na wanayeishi pamoja huko South Bay, Calif. “Whitney Alford.
Rappa Kendrick Lamar ambaye albamu yake To Pimp a Butterfly inaongza katika chati mbalimbali ,amethibitisha habari hizo za kumchumbia mpenzi wake wa siku nyingi wakati akipigia debe albamu yake katika kipindi cha “The Breakfast Club” ya Power 105.1’ siku ya ijumaa alipoulizwa kwamba ni kweli umemvisha pete ya uchumba mpenzi wako,akajibu: “Yeah, definitely.

 

0 comments:

Post a Comment